Saturday, August 4, 2012

TYVA FAHARI YETU, MUSTAKABALI WA TANZANIA

Kuna asasi makini,kuna vijana makini.Taifa letu ili liendelee linahitaji vijana makini,kwani siku zote taifa makini hujengwa na vijana makini.TYVA ni asasi makini ambayo inawafanya vijana wawe makini,shughuli za TYVA zimekuwa chachu ya kuwafanya vijana wajitambue,watumie vipaji vyao katika kujiletea maendeleo yao wenyewe na kwa taifa kwa ujumla.TYVA imekuwa mstari wa mbele katika kuanzisha na kusimamia...