Siku ya
birthday yangu(6/8) nilipofikisha miaka
22,nilienda shule niliyosoma O-LEVEL,nilitoa
dazani mbili za sahani kwa staff ya walimu wa
Uyole Sekondari.Kila Kijana anapaswa,kukumbuka
alipotoka.
22,nilienda shule niliyosoma O-LEVEL,nilitoa
dazani mbili za sahani kwa staff ya walimu wa
Uyole Sekondari.Kila Kijana anapaswa,kukumbuka
alipotoka.
Wangapi kati yetu,tumewahi kutumia birthday zetu
katika kushiriki shughuli za kijamii?nadhani tunapaswa kubadili mtazamo wetu,wa kufanya sherehe kubwa kupiti kiasi katika birthday,tujifunze kuwa sehemu ya jamii.
Nikikabidhi
dazani mbili za sahani,kwa makamu
mkuu wa shule ya Uyole Secondary.
Nilipata
nafasi ya kuongea na wanafunzi wa kidato
cha pili.