Wednesday, February 6, 2013

Leo ni siku ya matumizi salama ya internet duniani

Leo ni siku ya matumizi salama ya internet duniani.
umenufaika vipi na matumizi hayo.Fuata tovuti hii(https://www.coursera.org/) kujiunga na course mbalimbali,kutoka vyuo mbalimbali duniani kama university of michigan,university of London,columbia university,Johns Hopkins University,The Hong Kong University of Science and Technology,Hebrew University of Jerusalem,vipo vyuo 33, course zinazofundishwa ni 
Economics & Finance,Business & Management,Law,Biology & Life Sciences,
Computer Science: Artificial Intelligence, Robotics, Vision,
Computer Science: Systems, Security, Networking,Electrical and Materials Engineering,Health and Society & Medical Ethics,Information, Technology, and Design,Mathematics,Music, Film, and Audio Engineering,Social Sciences,
Computer Science: Programming & Software Engineering
Computer Science: Theory,Education,Food and Nutrition,Humanities
Medicine,Physical & Earth Sciences,Statistics, Data Analysis, and Scientific Computing.
Course zote hutolewa bure bila malipo,na kama mtu atahitaji cheti,atatumiwa cheti chake baada ya kumaliza course,hii ni fursa ya kipekee,tunaishi katika dunia yenye ushindani wa hali ya juu,tunaishi kwenye DIGITAL AGE,tunapaswa kuwa watu wa kuchangamkia fursa,niwatakie asubuhi njema.