Saturday, April 20, 2013

AMUA KUISHI MAISHA YAKO,


Si kila mtu atakuona wewe ni wathamani,lakini haimaanishi kwamba wewe siyo wa thamani,wewe ni wathamani sana,maneno ya watu yasiku umize,dunia hii ukisema usikilize kila lisemwalo juu yako,utajikuta unaishi maisha ya wengine na siyo maisha yako,AMUA KUISHI MAISHA YAKO,AMUA KUWA KIJANA MAKINI.

YOU HAVE TO KEEP MOVING FOWARD


TUJIPANGE.

Safari ya kufikia maendeleo yako ni safari ndefu,na inaitaji kujipanga sana,kabla hauja anza kufanya jambo lolote la msingi katika maisha yako,swala la kwanza kufanya ni kujipanga,kujipanga kunakusaidia wewe kujua wapi unakoelekea na ni juhudi kiasi gani unahitaji kuwa nayo pindi utakapoanza safari.

IN LIFE YOU HAVE A 2 CHOICE