Thursday, May 2, 2013

MSIKATE TAMAA KUWA VIJANA MAKINI

Hapa Tanzania,kuna vijana wana nia nzuri,kuna vijana wabunifu,kuna vijana wanaomwamini na kumtumikia Mungu,kuna vijana wenye tabia nzuri,kuna vijana wenye fikra makini na maamuzi makini,kuna vijana waaminifu,kuna vijana wanaojua nini maana ya kuwa kijana,kuna vijana wanaojua jinsi ya kuishi na watu,kuna vijana wenye heshima,kuna vijana walio na maono(vision).Vijana wa namna hiyo,watendeeni watu wema na wasaidieni watu wengine wafikie ndoto zao katika maisha yao.Mtakapo watendea watu wengine mambo mazuri na yenye manufaa,nanyi pia mtatendewa zaidi,msikate tamaa kuwa vijana makini.
BARAKA DANIEL

AMUA KUISHI MAISHA YAKO

Si kila mtu atakuona wewe ni wathamani,lakini haimaanishi kwamba wewe siyo wa thamani,wewe ni wathamani sana,maneno ya watu yasiku umize,dunia hii ukisema usikilize kila lisemwalo juu yako,utajikuta unaishi maisha ya wengine na siyo maisha yako,AMUA KUISHI MAISHA YAKO,AMUA KUWA KIJANA MAKINI.

TAFAKARI

hakuna mtu ambaye hapigi hatua kwenye maisha yake,aidha unasonga mbele kwenye maisha yako au hausongi mbele.

RISE TO THE TOP OF OUR FIELD.

“If we recognize our talents and use them appropriately, and choose a field that uses those talents, we will rise to the top of our field.” ―Ben Carson

NAOMBA JIBU

Utambulisho(identity)wako, ni nini?,unajulikana kwa lipi,?unajua unataka kufanya nini na maisha yako?na mpaka sasa umefanya kitu gani?TAFAKARI

YOU MAKE A DIFFERENCE BY INSPIRING OTHERS TO MAKE A DIFFERENCE.