“Taifa hili litaendelea iwapo tu tutakaa pamoja kama
vijana,na kuanza kufiri kwa utashi,na kuanza kudhubutu kuleta
maendeleo,tukigawanyika kamwe hatutafika popote,kama tu matatizo yanapokuja
kutukabili huja kwa umoja na ndiyo maana tatizo la elimu bora si tatizo la
kabila Fulani,au watu wadini Fulani,bali ni tatizo la kitaifa.hatuna budi
kujitathmini na kuimarisha umoja wetu.”-Baraka Daniel Kiranga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment