And nothing makes clear focus easier than to know exactly what you want. Set one clear goal that really excites you and write it down. Keeping it in front of you helps to keep your focus and to stay at it until it’s finished. Very...
Thursday, September 26, 2013
Wednesday, September 25, 2013
KUWA SHUJAA WAKO MWENYEWE.

Huwa unaanza usiku kisha inafuata asubuhi,wakati wa usiku mtu
anaweza akajikwaa kwa sababu ya kuto ona vizuri,lakini inapofika asubuhi mtu
huweza kuona vizuri na kufanya shughuli zake kwa ufanisi zaidi,asubuhi mtu huwa
ana nguvu zaidi,asubuhi ya kesho amua kuwa shujaa wako mwenyewe,mara nyingi sana
tunapenda kuonana na baadhi ya watu fulani katika jamii yetu,tukiamini wao ni
mashujaa na wana...
TUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUJITENGENEZEA FURSA ZA MAENDELEO.
Mwaka 2011,nilipata kufuatilia kwa
ukaribu kuhusu mitandao ya kijamii.Nilipata muda wa kuchambua mtandao mmoja
baada ya mwingine,nilipaswa kufanya hivyo ili kubaini ni nani ni gwiji kati ya
mitandao hiyo.Nilipata kujua tofauti kati ya mtandao mmoja na mwingine,na
kwanini mtu utumie mtandao huu na usitumie mwingine.Na mwisho wa siku nilikuja
kutambua ya kwamba Facebook ndiyo ulikuwa mtandao uliotengenezwa...
TUNA WAJIBU WA KUBADILI FIKRA ZETU

Makosa mengi tunayoyatenda ni matokeo ya fikra zetu,aidha
tunatenda pasipo kufikiri au tunafikiri sana pasipo kutenda,na mwisho wake
tunabaki kwenye maisha yale yale ya kila siku na tunafika mahali tunaridhika na
matatizo tuliyonayo,tukiendelea hivi hatutafika,na hata tukifika tutafika
mahali pa baya,kuna haja ya kubadilika sana,na dakika ya kubadilika ni sas...
Subscribe to:
Posts (Atom)