Huwa unaanza usiku kisha inafuata asubuhi,wakati wa usiku mtu
anaweza akajikwaa kwa sababu ya kuto ona vizuri,lakini inapofika asubuhi mtu
huweza kuona vizuri na kufanya shughuli zake kwa ufanisi zaidi,asubuhi mtu huwa
ana nguvu zaidi,asubuhi ya kesho amua kuwa shujaa wako mwenyewe,mara nyingi sana
tunapenda kuonana na baadhi ya watu fulani katika jamii yetu,tukiamini wao ni
mashujaa na wana uwezo wa kitofauti,je ulisha wahi kutamani kuonana na wewe?na
je ungefurahi ungeonana na wewe au ungekuwa rafiki na wewe?TAFAKARI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment