Tuesday, July 10, 2012
BADO TUNA NAFASI YA KUSONGA MBELE
Wapo watu,ambao wamekata tamaa ya maisha kwa sababu ya matatizo wanayokumbana nayo,wengine wanaumizwa na matendo waliyowahi kuyafanya katika miaka ya nyuma.Ninachoweza kukwambia amua sasa,kuishi maisha mapya,badili fikra zako,maneno yako,mtazamo wako.Bado una nafasi ya kutimiza ndoto zako katika maisha yako.CHUKUA HATUA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment