Watu wengi sana,wana angalia udhaifu wao,na hawa angalia
uwezo wao au usahihi wao,mtu ukiangalia udhaifu wako hauta yafurahia
maisha,tunapaswa kuyafirahia maisha.
Angalia uwezo ulionao,jipange na utumie uwezo wako,muda
mwingi fanya vitu vinavyoendana na uwezo wako
0 maoni:
Post a Comment