Monday, August 12, 2013

hatuna budi kujitathmini na kuimarisha umoja wetu

“Taifa hili litaendelea iwapo tu tutakaa pamoja kama vijana,na kuanza kufiri kwa utashi,na kuanza kudhubutu kuleta maendeleo,tukigawanyika kamwe hatutafika popote,kama tu matatizo yanapokuja kutukabili huja kwa umoja na ndiyo maana tatizo la elimu bora si tatizo la kabila Fulani,au watu wadini Fulani,bali ni tatizo la kitaifa.hatuna budi kujitathmini na kuimarisha umoja wetu.”-Baraka Daniel Kiranga

0 maoni:

Post a Comment